NAFASI YA AKILI NA MOYO KATIKA MAPENZI |NINI CHANZO CHA KUPENDA|MUNGU AITWAE CUPID?| MOYO AMA UBONGO?| SWAHILI SHORT STORIES NA Ibrahim Nuhu.



magonjwa mbalimbali,nakusababisha hadi sasa hospitali nyingi zitumie alama ya nyoka kama alama ya uponyaji….   Mtaalamu huyu  wa madawa aliitwa Hippocrates ,na hadi hivi leo anakumbukwa  kama baba wa matibabu ,
baada ya Hippocrates kufanya uchunguzi wake wa muda mrefu akasema hisia za binadamu, kama huzuni,furaha,upendo nakadharika huzalishwa na ubongo 
Nadharia ambayo ikaaminika na watu wachache na baadae kupotea kama upepo,
 baada ya karne kadhaa kupita ,  nadharia mpya ikazuka, 
Nadharia iliyotokana na mafikirio ya watu walioamini kuwa hisia za binadamu zinatoka moyoni,kwani hata ukimuona unayempenda au wakati unapoogopa basi moyo hudunda kwa kasi,pia hata  pale tunapoumizwa katika mapenzi moyo ndio unaouma,
Nadharia hii iliipa moyo jukumu la kupenda na kusababisha watu  kusema maneno kama nakupenda kutoka uvungu wa moyo wangu,na wengine wanapoumizwa husema ameuvunja moyo wangu, 
Nakupelekea  alama ya moyo kuwa alama ya upendo
wanasayansi wa sasa waliojaribu kuufanyia utafiti mwili wa binadamu,wakakubaliana na Hippocrates, nakuongeza kwa kusema kuwa kwenye ubongo wa binadamu kuna eneo ambalo kisayansi linaitwa limbic  au kwa lugha nyingine linafahamika kama intermediate brain,eneo hilo ndio linahusika na kuzalisha aina zote za hisia, wanasayansi husema moyo ni mtumishi wa akili



BOFYA LINK KUTAZAMA ZAIDI


Maoni