ENDAPO UNGEIJUA RADI,UNGEEPUKA MENGI USIYOYAJUA|JINSI YA KUJILINDA|HEKAY...ENDAPO UNGEIJUA RADI,UNGEEPUKA MENGI USIYOYAJUA
Mara nyingi hutokea hasa katika vipindi vya mvua,na ni
kawaida katika baadhi ya sehemu za Dunia , watu kuona mwanga mkali wa ajabu ulioambatana na sauti ya muungurumo ikisika angani,
Mwanga huo wa angani hujulikana na wazungu kama lightnging na
sauti za muungurumo hujulikana kama thunder lakini vyote kwa lugha yetu hufahamika
kama radi
leo katika kijiwe
cha Swahili short stories
tutapiga story mbalimbali kuhusu radi.
Achana na zile radi za sumbawanga,achana na radi za Mungu wa
kigiriki aitwae Zeus,leo tutaongelea radi yakutisha zaidi
Kwanza nikufahamishe kitu ambacho huenda Ulikuwa hufahamu,kuna
mahali huko Venezuela radi hupiga mara 280 kwa kila lisaa,na katika nyakati za
usiku hupiga zaidi ya mara 140 kwa hesabu ya mwaka mzima. Kwa ujumla huko Venezuela
karibu na ziwa la Maracaibo,kwa mwaka mzima radi hupiga zaidi ya mara million 1
na laki 2,kama wewe ni muoga wa radi basi huko usithubutu kukanyaga.
Ungana na mimi Ibrahim Nuhu katika mada yetu hii ya
leo…Endapo ungeijua radi ungeepuka mengi usiyoyajua,nimekuandalia maana yake ,ukweli
kuhusu radi na jinsi ya kujilinda,
Maoni
Chapisha Maoni